×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamaa aliyekuwa akitafutwa na polisi kwa madai ya kumuuwa mpenziwe atishia kujitoa uhai Kayole

27th January, 2021

Kizaazaa kilishuhudiwa mtaani kayole hapa jijini nairobi baada ya jamaa aliyekuwa akitafutwa na polisi kwa madai ya kumuuwa mpenziwe eneo la kasarani wiki jana, kutishia kujitoa uhai maafisa wa polisi walipomfumania nyumbani kwake kwenye orofa ya tano. haya yanajiri huku polisi wakianzisha uchunguzi kubaini chanzo cha moto uliosababisha vifo vya watoto wawili katika mtaa huo wa kayole.

.
RELATED VIDEOS