×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Safari Ya BBI Mlimani: Odinga ameanza safari ya kurai eneo la mlima kenya kuunga mchakato wa BBI

27th January, 2021

Kinara wa ODM Raila Odinga ameanza safari ya kurai eneo la mlima kenya kuunga mchakato wa BBI siku moja baada ya tume ya IEBC kuidhinisha saini za mswada wa BBI kuelekezwa kwenye magatuzi. Odinga aliyeambatana na viongozi wa ODM na wale wa jubilee ameahidi kwamba kuna mazuri kwenye mswada huo wa kukarabati katiba. odinga alianza safari yake eneo la kati ya nchi akianza na mtaa wa Githurai.

.
RELATED VIDEOS