x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Serikali imeombwa kuingilia kati na kutatua umiliki wa makao ya watoto ya Good hope Mtito Andei

26, Jan 2021

Serikali imeombwa kuingilia kati ili kutatua mzozo unaoukumba umiliki wa makao ya watoto ya Good Hope yaliyopo eneo la Mtito Andei. Kulingana na usimamizi uliopo, inadaiwa ya kwamba makao hayo yaliyojengwa na mfadhili kutoka ujerumani na yalikuwa yawasaidie watoto kutoka familia zisizojimudu na wale wa kurandaranda mitaani lakini sasa kwa sababu ya mvutano idadi kubwa ya watoto hao wanataabika na hata kukosa elimu.  

RELATED VIDEOS


Feedback