×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Siasa za Bonde la Ufa : Baadhi ya viongozi watuhumu asasi ya serikali wasema zinatumiwa vibaya

24th January, 2021

Baadhi ya wabunge kutoka kaskazini mwa bonde la ufa wameshtumu asasi za serikali zinazofungamanishwa na uchunguzi na upelelezi wakisema kwamba zinatumika kuwahujumu wandani wa naibu wa Rais William Ruto. Huku haya yakijiri kundi jingine linaloongozwa na gavana wa kaunti ya Elgeyo Marakwet Alex Tolgos wameweka mikakati kabambe ya kuwaandaa wakazi wa North Rift kwenye mchakato wa BBI.

.
RELATED VIDEOS