×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mama amuua mwanawe wa shule ya chekechea kwa madai ya kufukuza mapepo huko Kirinyaga

24th January, 2021

Wakazi wa eneo la mukui eneo bunge la ndia kaunti ya Kirinyaga wamepigwa na butwaa na tukio la mama mzazi kudaiwa kumnyonga mwanawe usiku wa kuamkia jana. Mama huyo mwenye umri wa miaka 36 anadai alikuwa akifukuza mapepo wakati wa kisa hicho. Polisi wanamzuilia mama huyo katika kituo cha polisi cha sagana akitarajiwa mahakamani jumatatu.

.
RELATED VIDEOS