×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ndimi za Kike: Visa vya dhulma za kijinsia msimu huu ulimwengu ukipambana na janga la Korona

23rd January, 2021

Msimu wa korona ulitua ghafla ulimwenguni na humu nchini ukionekana kama upepo unaopepeta moto wa visa vya aina yake.Dhulma za kijinsia zikijitokeza wazi msimu huu na kuongeza idadi ya ndoa zinazovunjika.mwanahabari Fridah Mwaka alifuatilia baadhi ya visa vilivyoibuka msimu huu katika mtaa wa mabanda wa kibera hapa jijini nairobi na kuandaa makala maalum ndimi za kike msimu wa korona

.
RELATED VIDEOS