Lucas Mwandighi, ndiye aliyeshukisha bendera ya mkoloni na kupandisha bendera ya kenya 1963
23rd January, 2021
Uzee ni busara na msemo huu unatoa maana kamili huko Taita Taveta pale mzee harman Lucas Mwandighi mwenye umri wa miaka 103 ndiye aliyeshukisha bendera ya mkoloni na kupandisha bendera ya kenya mwaka wa 1963 huko wundanyi