×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shule Bila Wanafunzi: Shule hii haijaidhinishwa na serikali; wakazi wanasubiri amri ya serikali

23rd January, 2021

Wiki kadhaa baada ya shule kufungulia bado wanafunzi waliokuwa kwenye shule za kibinafsi wanakazana kuhakikisha kuwa angalau wamepata nafasi kwenye shule za umma huku serikali ikitangaza kuwa tayari shule zimefurika tayari lakini katika kaunti ya nyeri kuna shule moja ya msingi kwa jina nyakinyua iliyotengenezwa miaka kadhaa Iliyopita iliyonuia kusaidia kupunguza nambari ya wanafunzi kwenye shule za eneo hili ingali kufungulia kwa kukosa cheti cha kuanzisha rasmi shule hiyo ya msingi

.
RELATED VIDEOS