23rd January, 2021
Seneta wa baringo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha KANU Gideon Moi hii leo amepeleka kampeni ya kupigia debe mchakato wa BBI katika kaunti ya isiolo. Gideon aliyeandamana na viongozi wengine aliwaomba wakazi kupigia mkono marekebisho ya katiba pindi kura ya maoni itakapopigwa.Seneta huyo aidha alitawazwa na waborana.