×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Simanzi Mazishini: Mutwiri anasemekana kutoweka mwezi wa disemba, ila alipatikana akiwa ameuwawa

23rd January, 2021

Ni mazishi ya Brayden Mutwiri ambayo huzuni ilitanda, mvulana wa miaka minne ambaye mwili wake ulipatikana katika mto thuci wiki iliyopita leo akizikwa kaitika eneo la kanyuambora, mbeere kaskazini, kaunti ya embu. Mutwiri anasemekana kutoweka mwezi wa disemba mwaka jana ila alipatikana akiwa ameuwawa huku madai yakiwa alitumika kama kafara.

.
RELATED VIDEOS