23rd January, 2021
Viongozi wa magharibi wakiongozwana Musalia Mudavadi wameonekana kushabikia kauli ya rais Uhuru Kenyatta kuwa jamii nyengine zina nafasi ya kutwaa urais na wala si jamii mbili tu. Viongozi wa jamii hiyo wakisema chini ya uongozi wa katibu wa COTU Francis Atwoli jamii hiyo lazima itamuunga mkono mgombea mmoja wa urais na kukashisfu za naibu wa rais pamoja na kumtaka rais kenyatta kuteua majaji 41 waliopendekezwa na jsc. Walizungumza hayo katika eneo la Kwisero,