.
19th January, 2021
Mtazamaji tulianza kwa kuchambua safari ya chama cha walimu KNUT na jinsi mvutano baina ya chama hicho na tsc, umekuwa sinema inayoashiria chuki isiyopaswa kuwepo. Hii leo tunaangazia vyama vilivyochipuka vya walimu, na kwa nini viliundwa anavyoarifu Elvis Kosgei.