×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri Matiang'i aonya wanasiasa wanaofadhili mashambulizi eneo la Kapedo

19th January, 2021

Waziri wa usalama wa ndani Fred Matiang'i amesema kwamba serikali inachukulia kwa uzito matukio ya huko Kapedo na kwamba utovu wa usalama unaoshuhudiwa yamkini unafadhiliwa na wanasiasa fulani, na kwamba hatua itachukuliwa. Amezungumza hapa Nairobi mapema leo baada ya kukutana viongozi wa kaskazini mashariki ya Kenya.

 

 

.
RELATED VIDEOS