×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Museveni ametangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu wa uganda kwa kupata kura milioni 5.8

16th January, 2021

rais yoweri kaguata museveni ametangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu wa uganda kwa kupata kura milioni 5.8. mpinzani wake robbert kyagulanyi anayejulikana kama bobi wine kwa jina la usanii amekuwa wa pili kwa kura milioni 3 nukta nne. hii ina maana museveni anachukua muhula mwingine wa miaka sita na tayari ameongoza nchini kwa miaka 35. bobi wine amekataa kutambua matokeo hayo akisema kuwa uchaguzi ulikumbwa na udanganyifu mkubwa akilaumu chama cha nrm kwa kutumia mabavu

.
RELATED VIDEOS