×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Roba asema zaidi ya shule 20 hazijafunguliwa kutokana na hofu ya wanamgambo wa al shabaab

15th January, 2021

gavana wa mandera ali roba amevitaka vyombo vya usalama kuwa makini zaidi kutokana na mashambulizi yanayodhaniwa kutekelezwa na wapiganaji wa al shabaab. roba amesema zaidi ya shule 20 hazijafunguliwa kutokana na hofu baada ya walimu kutoka nje ya maeneo hayo kuondolewa na tume ya huduma za walimu. roba amesema kuwa kundi hilo limetawala sehemu nyingi za kaunti ya wajir

.
RELATED VIDEOS