Mirindimo: Rais Uhuru amkumbusha Atwoli kuwa simba akinyeshewa huwa hatari sana
15th January, 2021
katika mirindimo katibu mkuu wa cotu francis atwoli asema kuwa rais uhuru kenyatta lazima asafishe nyumba yake na rais uhuru kenyatta amkumbusha kuwa simba akinyeshewa huwa hatari sana. paul nabiswa anaarifu