×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Oparanya asema tayari amewaajiri wauguzi 60 ambao watachukuwa mahala pa wauguzi waliogoma

15th January, 2021

gavana wa kaunti ya kakamega na mwenyekiti wa baraza la magavana wycliffee oparanya amesema tayari amewaajiri wauguzi 60 ambao watachukuwa mahala pa wauguzi waliogoma kaunti ya kakamega kuendelea kuwapa huduma wagonjwa. oparanya amesisitiza kuwa hana budi ila kuwaajiri wauguzi wengine watakaowashughulikia wakaazi wa kaunti ya kakamega kuliko kuwaacha kuumia bila huduma

.
RELATED VIDEOS