Raila Odinga akutana na wanabiashara Ruai huku suala la BBI likiwa ni ajenda kuu
14th January, 2021
Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga alasiri ya leo amekuwa huko Ruaka kaunti ya Kiambu kufanya mkutano na viongozi wa wafanyabiashara wa Githurai, ambapo suala la BBI lilikuwa ajenda kuu.