13th January, 2021
'Kenya sasa iko tayari kuandaa mashindano ya dunia ya safari rally' hii ni kauli ya waziri wa michezo amina mohamed aliyethibitisha kwamba mikakati yote ya kuandaa mashindano hayo ya hadhi kuu imekamilika baada ya taratibu zote za kujikinga dhidi ya covid kuchukuliwa.