×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mvita Super Cup: Mvita yanyakua ubingwa wa mvita cup, washindi wapewa elfu hamsini na zawadi

27th December, 2020

Timu ya Mvita Young Stars ndio mabingwa wa kombe la Mvita Super Cup mwaka 2020 baada ya kuiadhibu Mombasa Helmets Fc mabao mawili kwa nunge katika fainali iliyochezwa shule ya msingi ya Mvita. Waandalizi wa michuano hiyo wameanzisha kituo cha michezo wakiamini kuwa mbali na washindi kupewa zawadi vijana watapata jukwaa la kukuza talanta zao kwa siku zijazo.

.
RELATED VIDEOS