x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Akina mama kutoka kaunti ya Lamu walilia wana wao kutokana na ongezeko la matumizi ya mihadarati

27, Dec 2020

Kina mama katika kaunti ya Lamu wamepaza kilio chao kutokana na ongezeko la matumizi ya mihadarati ambayo huishia kuyaharibu maisha ya watoto wao. Wakizungumza kwenye mkutano uliokusudia kuwaunganisha mamia ya vijana ambao wamekuwa katika kituo cha kuwashughulikia waraibu wa mihadarati cha kenya red cross, kina mama haowanahofia kukipoteza kizazi chao kupitia uraibu iwapo hatua muafaka hazitachukuliwa.

Feedback