×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mgomo wa Wahudumu: Wauguzi wadai serikali kupendelea madaktari huku mgomo wao ukiingia siku ya 21

27th December, 2020

Siku tatu baada ya madaktari kusitisha mgomo wao, wahudumu wengine wa afya wakiwemo wauguzi na matabibu wamo kwenye siku ya 21 ya mgomo. Wauguzi wanadai serikali imekuwa ikipendelea madaktari lakini madaktari wanasema hawapendelewi na migomo huandaliwa kusaka matakwa tofauti. Mark namaswa na taarifa hiyo kwa kina.

.
RELATED VIDEOS