Waziri wa elimu George Magoha adai mitihani ya kitaifa ya Kcse na Kcpe iko tayari na zitafanywa
23, Dec 2020
Chini ya wiki mbili kabla ya ufunguzi wa shule zote nchini, wizara ya elimu inasema mitihani ya kitaifa ya kcpe na kcse iko tayari. Waziri wa elimu George Magoha pia amesema shule zote zitafunguliwa licha ya changamoto si habakatika miundo msingi madarasani