21st December, 2020
Tecla sang ambaye pia ni miongoni wa wanadada wa kwanza kuiwakilisha kenya katika mashindano ya olimpiki, ametoa wito kwa wanariadha nchini kuzingatia umuhimu wa elimu, ili kujikinga dhidi ya swala la matumizi ya madawa ya kusisimua misuli linalowavunjia hadhi.