×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Benson Mutura aapishwa kuwa kaimu gavana wa kaunti ya Nairobi kwa siku sitini

21st December, 2020

Benson kang’ara mutura ameapishwa kuwa kaimu gavna wa kaunti ya nairobi katika kipindi cha siku 60 ambapo kwa mujibu wa katiba, iebc inatarajiwa kuandaa uchaguzi mdogo kabla ya siku hizo kukamilika. Anavyoarifu mwanahabari geff kirui , dakika chake baada ya kula kiapo , mutura alitia saini agizo litakalowezesha wizara ya fedha kutoa takriban shilingi bilioni 37.5  ya bajeti ya kaunti ya nairobi ambayo mike sonko alikuwa amekaidi kutia saini kufuatia mvutano kati yake na mkurugenzi wa nms meja mstaafu mohammed badi.

.
RELATED VIDEOS