18th December, 2020
Wizara ya afya inasema kuwa imeweka mikakati ya kupata chanjo ya virusi vya cov id 19, ila kenya haitanunua chanjo ya pfizer au ile ya moderna ambayo tayari yanatumika katika mataifa ya uingereza. Kenya itapata chanjo aina ya chadox ambayo inatengenezwa na kampuni ya astrazeneca na chuo cha oxford'