×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Taji la Super Cup:Timu ya leeds imewabwaga mabingwa wa makala ya sita ya taji la wanyonyi super cup

12th December, 2020

Timu ya leeds imewabwaga mabingwa wa makala ya sita ya taji la wanyonyi super cup leverkusen kwa kuwalaza mabao manne kwa mawili kwenye matuta ikiwa nia fainali za makala ya saba zilizochezwa ugani cavs mtaani kabete. Leeds ilitoka sare ya bao moja kipindi cha kawaida na hivyo kulazimisha matuta. Upande wa kina dada kibagare imeilaza patriots magoli mawili kwa moja na kutwa taji la wanawake.

.
RELATED VIDEOS