12th December, 2020
Kampeni za uchaguzi mdogo wa eneo bunge la msambweni zimetamatika hii leo baada ya kipindi cha miezi miwili ya kindumbwendumbwe cha kukata na shoka. Na sasa ni awamu ya wagombea wanane kumenyana mnamo jumanne tarehe 15 mwaka 2020. Anavyoripoti mwanahabari wetu tobias chanji ni vigumu kubashiri mwelekeo wa uchaguzi huo