×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Washukiwa wa kesi kuhusu mauaji ya Juliana Mwikali wanyimwa dhamana

9th December, 2020

Washukiwa 11 kati ya 12 ambao wote ni jamaa wa familia moja wanaohusishwa kwenye mauaji ya marehemu juliana mwikali ngui, wamenyimwa dhamana na mahakama ya machakos. Washukiwa hao 11 wamekuwa wakizuiliwa katika gereza la machakos na wamekuwa wakihudhuria vikao vya mahakama kupitia mtandao wa skype. Mwikali aliuawa nyumbani kwake katika kijiji cha kathuma kaunti ya machakos mnamo agosti mbili mwaka huu.  Kulingana na judge david kemei, washukiwa hao hawangepewa dhamana kutokana na usalama wao na jinsi hali ilivyo kwa ssa kijijini mwao. 

.
RELATED VIDEOS