.
9th December, 2020
Gavana wa Nairobi Mike Sonko sasa atajitetea mbele ya kikao cha maseneta wote, baada ya bunge la seneti kukosa kujadili hoja ya kuundwa kwa kamati maalum ya maseneta 11, kuchunguza madai dhidi ya Sonko. Bunge hilo sasa litafanya kikao kumchunguza Sonko tarehe 17 na 18 mwaka huu.