x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Standard Group yaomboleza: Msanifu michoro wa runinga, Richard Omondi Were afariki ajalini

09, Dec 2020

Standard group yampoteza mfanyakazi barubaru Richard Omondi Were, aliyepoteza uhai katika ajali ya barabarani mapema leo alipokuwa akija kazini. " Richie" alivyofahamika na wengi, alikuwa msanifu wa michoro (Graphic Designer) katika kitengo cha habari na vipindi vya runinga. ''Richie'' alihuisika kwenye ajali katika eneo la imara daima, barabara kuu ya kuelekea Mombasa, ambapo alifariki papo hapo kwenye eneo la mkasa huo. Richard alizaliwa aprili 21, 1993 na alijiunga na kampuni ya Standard Group Februari 9, 2015, ambapo amekuwa mchapa kazi hadi kifo chake cha ghafla  asubuhi ya leo. Mola ailaze roho yake mahala pema peponi. 

Feedback