Sam Ochola katibu wa Gor Mahia, adai maneno ya mwenyekiti Amrose Rachier ni porojo tupu
25th November, 2020
Katibu mkuu wa Gor Mahia Sam Ochola aliyetemwa hapo jana na uongozi wa klabu hiyo amepuuzilia mbali kauli zilizotolewa na mwenyekiti Amrose Rachier akisema ni porojo tupu.