Oluoch Beki Kigogo: Alicheza soka kwa miaka 18 ligi kuu, sasa ni kocha wa Migori youth
25th November, 2020
Beki mtajika aliyeshinda taji la kuu nchini mara tatu akiwa na klabu ya sony sugar, Sofapaka na Gor Kelvin Oluoch, alijiunga na Migori Youth FC kama kocha baada ya kustaafu soka.