×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

'Aliyekufa' Afukuka: Mwanamme aliyedhaniwa amekufa afufuka, alilazwa chumba cha hifadhi ya maiti

25th November, 2020

Wakazi wa eneo la Kapkatet kaunti ya Kericho, waliachwa vinywa wazi, baada ya jamaa aliyedhaniwa kuwa amefariki, kugutuka akiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti. Inaarifiwa kuwa Peter Kiplangat Kigen aligutuka wakati mhudumu wa chumba cha kuhifadhi maiti alipokuwa akikata sehemu ya mwili yake ili kuweka dawa ya kuhifadhi maiti yake. Alipelekwa chumba cha kuhifadhi maiti baada ya kudhaniwa kuwa amekufa ghafla baada ya kuanguka.

.
RELATED VIDEOS