.
18th November, 2020
Mapema mwezi Julai mwaka huu, benki ya dunia imeiorodhesha tanzania kuwa taifa la uchumi wa kati, ikiwa ni miaka mitano kabla ya lengo, ambapo dira ya maendeleo ya taifa hilo la Afrika Mashariki, inaonesha taifa hilo lingefikia kiwango hicho mwaka 2025.