x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Daraja la Kisirani: Wakaazi walalamikia kukwama kwa ujenzi wa daraja la Mto Mkuu, mtepeni Kilifi

18, Nov 2020

Viongozi na wakazi wa eneo la Mtepeni kaunti ya Kilifi wanaitaka tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC kuchunguza kandarasi ya shilingi milioni 56 iliyotolewa kwa ujenzi wa daraja la Mto Mkuu, mto unaoaminika na wenyeji kuwa na mazingaombwe baada ya vifo vya zaidi ya watu kumi ndani ya kipindi cha miaka miwili iliyopita. Ila tangu mwezi Oktoba mwaka jana wakati ujenzi rasmi ulianza hakuna chochote kinachoendelea kwa sasa.

RELATED VIDEOS


Feedback