×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kenya imerekodi visa 957 vipya vya Korona hii leo, idadi ya maambukizi sasa ni 72,686

18th November, 2020

Tukiangazia masuala ya maambukizi ya virusi vya Korona hapa nchini, chini ya saa ishirini na nne, watu mia tisa hamsini na saba wameambukizwa virusi hivi kutoka sampuli ya watu elfu tano, mia tano hamsini na tisa. Idadi ya maambukizi sasa imefikia elfu sabini na mbili, mia sita themanini na sita. Watu elfu mbili mia sita kumi na sita wamepona, huku elfu mbili mia nne thelathini na wanne wakiwa waliopata matibabu nyumbani ilhali mia moja themanini na wawili ni waliopata matibabu hospitalini. watu kumi na mmoja wamefariki na kufikisha idadi ya vifo kuwa elfu moja mia tatu kumi na tatu.

.
RELATED VIDEOS