x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Enzi za Huduma Namba: Kadi kuanza kusambaziwa wakenya, kuanzia Desemba mwaka wa 2020

18, Nov 2020

Mtazamaji hautaweza kupata huduma za Serikali kuanzia Disemba mwaka ujao bila kadi ya huduma. Haya yametangazwa hii leo na serikali kupitia Waziri wa Usalama Fred Matiang’i na mwenzake wa mawasiliano Joe Mucheru waliozindua rasmi kusambazwa kwa kadi hizo kwa wakenya waliojiandikisha.

Feedback