x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mkasa wa Boti Usenge: Watu kumi waripotiwa kufariki Usenge, baada ya boti kuzama Ziwa Victoria

18, Nov 2020

Watu kumi wanaosemekana kuwa Raia wa Uganda wamethibitishwa kufariki katika mkasa wa boti uliotokea mapema hii leo katika eneo la Usenge kaunti ya Siaya. Taarifa zinasema kuwa boti hiyo ilikuwa ikisafirisha mizigo kutoka nchini Uganda ikiwa na takriban abiria ishirini. Oparesheni ya kuopoa miili ya abiria kumi wanaosemekana kuwa Raia wa Uganda walioangamia kwenye mkasa huo inaendelea ambapo kufikia sasa tunaarifiwa ni mwili mmoja utu ambao umeopolewa kutoka kwa maji.

Feedback