Wahudumu 3 wa hospitali ya Mama Lucy wakamatwa kutokana na ulanguzi wa watotoWahudumu 3 wa hospitali
18th November, 2020
Wahudumu watatu katika hospitali ya Mama Lucy Kibaki jijini nairobi wametiwa mbaroni na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuhusika katika sakata ya ulanguzi wa watoto wachanga wakati wa kuzaliwa.