Walimu watishiwa na COVID: Walimu wanahofia maambukizi ya Korona, shule zote zitakapofunguliwa
18, Nov 2020
Maambukizi ya korona miongoni mwa walimu na wanafunzi kwa sasa hayana hesabu kamili. Hata hivyo kufunguliwa kwa shule kikailifu mwaka 2021 kunaibua mdahalo kuhusu mambo yatatavokuwa. Kufikia sasa muungano wa knut unakisia kwamba angalau walimu 30 wamefariki kutokana na korona, nayo tume ya huduma ya walimu ikiahidi bima kwa walimu athirika.