x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kesi ya madai ya ukiukaji haki Kakuzi inaendelea katika taifa ya Uingereza

11, Nov 2020

Madai ya ukiukaji wa haki za binadamu na kampuni ya Kakuzi yameathiri sekta ya zao la maparachichi nchini. Washikadau katika sekta hiyo wanasema uchunguzi unaoendelea dhidi ya kakuzi baada ya madai hayo kuibuliwa na kampuni za uingereza, sainsbury na lidl utaathiri sekta kwa muda kabla ya kurejelea hali ya kawaida.

Feedback