x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Sheria ya mazishi Kisumu: Wakazi kutozika maiti katika boma zao, wenyeji wamezipinga sheria hizo

11, Nov 2020

Serikali ya kaunti ya Kisumu imetoa ilani kwa wenyeji wanaoishi mitaa inayokaribia makao makuu ya mji huo kutowazika wapendwa wao kwenye maboma yao. Mazishi katika mitaa kama Obunga, Nyalenda, Manyatta, Bandani nna Kondele sasa hayatakubaliwa hasa kwa wale wanaomiliki mashamba wanamoishi. Hatua hii ambayo inafaa kuimarisha hadhi ya Kisumu kuwa mji, inapingwa na wenyeji ambao wataathirika na sheria hii. 

Feedback