.
8th November, 2020
Kilimo cha maua ni mojawapo ya biashara zinazoleta pato la nje kwa taifa hili. Hata hivyo, nyakati za korona zimeleta changamoto za kuvurugwa kwa soko la ng’ambo. Mbali na hayo mashamba mengi yanakabiliwa na changamoto za kupotea kwa ajira na pia matumizi ya mashine kuwaacha watubila kazi. Shamba moja limeamua kuchukua mkondo tofauti.