Utalii na Korona: Watalii wa kigeni wazuru mbuga Tsavo, ni jeki kwa utalii Taita Taveta
08, Nov 2020
Licha ya makali ya korona kuonekana kuzidi kila uchao sekta ya utalii imeanza kujikwamua japo polepole huku wageni wakianza kuzuru mbuga ya kitaifa ya Tsavo na sehemu zingine kujionea wanyama pori pamoja na vituo vingine vya Kitalii.