×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wapotevu wapatikana: Wazazi wakutanishwa na watoto wao, walipotea mtaa wa Mukuru wa Njenga

8th November, 2020

Wazazi wawili leo hii wameunganishwa na wanawe waliokuwa wamepotea tangu mwaka jana.  Watoto hawa ambao walikuwa majirani katika mtaa wa mukuru kwa njenga walikuwa katika nyumba ya kuhifadhi watoto ya Emmanuel Rescue Center mtaa wa Kayole Soweto. Kurudiana huku kwa wazazi na watoto wao imefanikishwa na mitandao ya kijamii.

.
RELATED VIDEOS