.
8th November, 2020
Wachezaji wa voliboli kutoka timu mbalimbali wamejiunga na timu tofauti kufanya mazoezi wakisubiri serikali kutangaza kurejelewa kwa michezo nchini. Baadhi ya wachezaji walioshiriki michuano ya highrise wametamaushwa natalanta za voliboli zilizopo nje na kuelezea haja ya kuzinasa haraka.