x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

KANU yaimarisha mikakati Nairobi, yazindua afisi mpya Embakasi

08, Nov 2020

Katibu wa kina mama wanachama wa KANU tawi la Nairobi Betty Adera amesema chama hicho kimeimarisha mikakati ya kukifufua na sasa kiko imara na kitakuwa na wagombeaji viti katika maeneo yote kaunti ya nairobi kwenye uchaguzi mkuu ujao.  Adera alikuwa akizungumuza eneo la Embakasi hapa nairobi wakati wa uzinduzi wa afisi mpya ya chama hicho katika maeneo hayo.

Feedback