x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kamala Harris aandikisha historia, ni mwanamke wa kwanza mweusi na wa asili ya Asia kuwa makamu Rais

08, Nov 2020

Rais mteule wa Marekani Joe Biden na makamu wake Kamala Harris wataapishwa kuchukua hatamu ya uongozi mnamo tarehe 20 mwezi Januari. Taifa la Marekani linapoelekea kukaribisha uongozi mpya, gumzo limekuwa kumhusu makamu wa Rais mteule Kamala Harris. Harris mwenye asili ya kihindi na kiafrika ni mwanamke wa kwanza kushikilia wadhifa huo katika historia ya taifa hilo. Je, Kamala Harris ni nani na safari yake ya siasa imekuwa vipi?

Feedback