×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Harambee Stars wapimwa Covid kabla ya kuingia kambini rasmi

2nd November, 2020

Wachezaji wa timu ya taifa ya kandanda Harambee stars pamoja na kikundi cha ukufunzi hii leo walipimwa virusi vya korona kabla kuingia kambini rasmi kwa maandalizi ya kuchuana na timu ya Comoros kwenye mashindano ya kufuzu kombe la bara afrika. Mechi hiyo itaandaliwa tarehe kumi na moja mwezi Novemba kabla mechi ya marudiano siku nne baadaye.

.
RELATED VIDEOS